*TIME & BUSINESS COACH* *Title: ONE MIND FITS ALL/ AKILI MOJA INAYOKIDHI(AKILI) ZOTE* ✳ *1 WAKORINTHO 2:16* 💯Akili ya mwanadamu inabadilika kama kinyonga kutokana na mabadiliko ya mazingira, kama ikitokea akili yako isipo badilika kulingana na mazingira Fulani mtu huyu anakuwa maskini tu. Akili uliyoishi nayo Arusha kwa muda wa miaka 10(isiyokuwa na mafanikio) ikatokea ukatoka nje ya eneo hili ukaenda mahali pengine tena ukatumia akili ile ile uliyokuwa unaishi nayo Arusha huwezi kutoka kimaisha, kwa mfano akilli hiyo uliyo ishi nayo Arusha ukaenda ukaishi nayo Mwanza haitakufikisha mbali kimaisha utaona kuna vitu havifanyi kazi, utateseka sana. Ili akili yako ibadilike ufikapo Mwanza lazima ujue hao watu wanaishije, wanakulaje pamoja na mazingira yao yako vipi n.k . UKIWA SEHEMU MPYA, MAZINGIRA MAPYA NA UNATUMIA AKILI YA ZAMANI HUWEZI FANIKIWA KIMAISHA. ✅Akili isipotaka kubadilika hauwezi kuelewa kitu, akili ikikataa kufanya jambo fulani kuna mambo mengi huwezi faniki...
Comments
Post a Comment